Tuesday 26 April 2011

YEYOTE ATAKAYEMKOSESHA MMOJA WA HAWA WADOGO WANAONIAMINI, INGEKUWA AFADHALI AFUNGWE SHINGONI JIWE KUBWA LA KUSAGIA NA KUZAMISHWA KWENYE KILINDI CHA BAHARI.






















Mtoto: '' Wewe Baba nakujua, Shikamoo''
Baba Kikwete: '' Enhe mwanangu, Marahaba, Je umenijuaje?''
Mtoto: ''Nimefunuliwa na Bwana Aliyeshinda Mauti na kufufuka leo''
Mtoto: '' Wewe ni Baba , Rais KIKWETE. Je unajua Yesu alisema nini kuhusu WATOTO?''
Baba Kikwete: '' Ndiyo, Yesu alisema ''Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye    aliye mkubwa ndani ya Ufalme wa mbinguni''


 
Mtoto: ''Basi Baba Kikwete pokea BARAKA za watoto wote wa Tanzania pia usisahau.. "Kama mkono au mguu wako ukikukosesha, ukate na kuutupa mbali nawe. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima bila mkono au mguu, kuliko kutupwa katika moto wa milele ukiwa na mikono miwili na miguu yako miwili.''

No comments:

Post a Comment