Tuesday 19 April 2011

UMOJA WA MATAIFA WAMPONGEZA TENA RAIS JAKAYA KIKWETE NA SERIKALI YAKE. APRIL, 2011



MKUTANO MKUU WA UMOJA WA MATAIFA UKIPITISHA AZIMIO JIPYA LA MALARIA.
LEO HUKO NEW YORK, MAREKANI. APRIL 2011.

Umoja wa Mataifa leo tena umempongeza Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Uongozi wake kwa kuongoza mapambano makubwa na kufanikisha kupitishwa kwa azimio jipya la kupambana na MALARIA siku chache kabla ya kuadhimishwa kwa Siku ya Malaria Dunia tarehe 25 April, 2011.
Kwa niaba ya UNO-WHO na Mradi wa Roll Back Malaria, Bw. Herve Verhoosel alitangaza kwa ushujaa kuwa Tanzania imekuwa kiungo Imara ktk kushawishi wajumbe na kupitisha Azimio hili. Alimpongeza kwa dhati Rais Kikwete na uwakilishi wake ktk UNO.
 
The United Nations Secretary General Ban-ki-Moon hands over to President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, the First African Leaders Malaria Alliance Award of Excellence for his efforts in combating Malaria in the country, while the chairman of the AU Commission Jena Ping, expresses his admiration to the efforts in Addis Ababa, Ethiopia.(Feb,2011).  
UNICEF Image
Malaria was once a leading child killer throughout Tanzania. As in many countries across Africa, it kept clinics and hospitals full, kept sick children out of school and was a major cause of lost productivity among adults. On World Malaria Day 25th April, 2011, high-ranking officials, including the President of Tanzania, will participate in the country’s celebrations. Zanzibar is on the spotlight as a region that has made great progress – and to which the rest of  Tanzania must catch up.



No comments:

Post a Comment