Saturday 30 April 2011


Mtoto Irene Simba akifurahi na kudhihirisha upendo na amani aliyonayo alipobebwa na Rais wa Tanzania Baba Jakaya Kikwete kwenye hafla-kazi iliyofanyika viunga vya IKULU, ambapo mama yake Irene, Bi Mwamini Malemi, aliapishwa na Rais kuwa Kaimu Katibu Mkuu Mambo ya Ndani. Ndugu Alphayo Kidata aliapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu IKULU na wengine ktk wizara mbalimbali.

Rais JM Kikwete, M/Rais Bilal, W/Mkuu Pinda pamoja na Manaibu Katibu Wakuu walioapishwa leo ktk viunga vya IKULU-Dar es salaam. KAZI NA IENDELEE KWA KASI ZAIDI. TUSICHELEWE KUJENGA MISINGI BORA YA MAENDELEO KURITHISHA WATOTO TAIFA IMARA.

No comments:

Post a Comment