Monday 18 April 2011

RAIS WA TANZANIA JAKAYA M KIKWETE ANAWAPENDA SANA WATOTO.


(Baba) Rais Jakaya Kikwete alikuta na wawakilishi wa watoto wa Tanzania ktk tafrija aliyowaandalia huko Ikulu mnamo June,2010. Baba Kikwete alisema na kujibu maswali ya msingi juu ya haki za watoto.

Rais Kikwete huweka muda kwenda kuwasalimia WATOTO hospitalini. Ni mfano wa baba anayejali.

Umoja wa Mataifa (UN) umeipongeza Serikali ya Tanzania na uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa mafanikio makubwa ya kupunguza vifo vya watoto wachanga wanaozaliwa na ugonjwa wa ukimwi na pia kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutokana na ugonjwa huo.

Watoto wenye ulemavu wa ngozi Albino wanaosoma katika shule ya msingi ya Pongwe mjini Tanga wamemuomba Rais Jakaya Kikwete aidhinishe hukumu ya vifo ikiwemo kunyongwa hadi kufa zinazotolewa na mahakama kwa watu wanaopatikana na makosa ya mauwaji ya albino.Photo by wordpress.com

No comments:

Post a Comment