Wednesday 27 April 2011

WATOTO WATAENDELEA KUURITHI NA KUIMARISHA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Baba Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na Rais wa Zanzibar Baba Ali Shein na M/Rais  Zanzibar Baba Sheriff Hamad ktk Uwanja wa Amani Zanzibar, kuwatakia Umoja, Undugu, Upendo na Amani ya daima watanzania ktk sherehe za kumbukumbu ya miaka 47 ya Muungano wa Tanzania. Leo 26 Aprili, 2011. Amani, Zanzibar
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kimataifa ya Hazina, wakionyesha umahiri wao wa kucheza Sarakasi wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 47 ya Muungano zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar keo. Habari toka matukio-michuzi

No comments:

Post a Comment