Tuesday 19 April 2011

TUNAPINGA NDOA YA LAZIMA YA WATOTO DUNIANI.


Uness Nyambi, miaka 15, aliozeshwa akiwa ni mtotot ili wazazi wapate mahari kwa ajili ya ndoa ya kaka yake. Sasa ameshazaa watoto 2 na mme wake (aliyekaa nyuma yake) ana umri wa miaka 70. Unes inabidi alime shamba lake ili amtunze mme wake na watoto 2.

Joyce Mumba alilazimishwa kuolewa akiwa na miaka 10.Sasa ana watoto 2. Mme wake Silaa, anakadiria umri wake kuwa kati ya miaka 80 na 90.
facts_child_marriage_006.gif

Maeneo yenye alama za njano yana viwango vikubwa vya Ndoa za WATOTO.

TUKUBALIANE NDOA YA WATOTO NI YA KULAZIMISHA. NI UTUMWA

No comments:

Post a Comment