Wednesday 13 February 2013



Wanafunzi wa shule ya sekondari ya mchepuo wa kilimo ya Balang’dalalu ya mchepuo wa kilimo iliyopo Wilaya ya Hanang’ Mkoa wa Manyara,wakipalilia mahindi kwenye shamba la shule yao,kama walivyokutwa ijumaa iliyopita ambapo hujilimia wenyewe kwa chakula chao.Picha na Joseph Lyimo


Wanafunzi wa shule ya sekondari Balang’dalalu ya mchepuo wa kilimo iliyopo Wilaya ya Hanang’ Mkoa wa Manyara,wakipalilia mahindi kwenye shamba la shule yao ambapo hujilimia wenyewe kwa chakula chao.

No comments:

Post a Comment