WATOTO WA TANZANIA WAKISOMA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
Kwa muda mrefu sasa, jamii imekuwa ikiwatupia mzigo mkubwa wa lawama walimu pindi ufaulu wa wanafunzi unapo kuwa duni. Kimantiki lawama hizo zinaweza kuwa na mashiko. Hii inatokana na ukweli kuwa ubora wa elimu itolewayo unategemea sana uwepo wa walimu wenye sifa,vifaa vya kufundishia na kujifunzia, mitaala thabiti na thahili,ushirikiano wa walimu, wanafunzi, wazazi,wadau wa elimu na tathmini sahii ya mtaala inayokubalika
No comments:
Post a Comment