Wednesday 10 August 2011

WITH LESS RESOURCES WE SHALL ACHIEVE SUCCESS.

Binti yatima Zainab Musa wa sekondari ya watoto yatima ya WAMA NAKAYAMA akimwonyesha matumizi mbalimbali ya moto ktk maabara, Mgeni Mama wa Kwanza wa Burundi Dr. Denise Nkuruzinza alipotembelea shule hiyo inayoendeshwa na mwenyeji wake Mama wa Kwanza wa Tanzania Salma Kikwete huko Kisawe Rufiji.

No comments:

Post a Comment