Thursday, 17 November 2011

MBIO ZA MWENGE NA CHANJO YA VITAMINI A 2011


KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA 2011 BI MTUMWA RASHID ALFANI AKIMPA TONE LA VITAMINI A MTOTO SUZY LUCAS NJELA IKIWA NI UFUNGUZI WA CHANJO KWA WATOTO WALIO CHINI YA MIAKA 5 HUKO NAMTUMBO, RUVUMA.

OSANGO ODIERO APOLLO AFUNGA NDOA 2011