Sunday, 1 May 2011

KESI YA HAPPY FREDDY wa MIKOCHENI IHARAKISHIWE HUKUMU

HAPPY FREDDY (28), mkazi wa Mikocheni, anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kusababisha kwa makusudi kifo cha mtoto wa kiume wa siku moja kwa kumdumbukiza chooni. Kamanda mkoa-polisi wa Kinondoni Bw. Charles Kenyela ametaarifu kuwa, tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8 mchana huko maeneo ya Mikocheni 'A'.

Kenyela amesema kuwa, taarifa hiyo iliifikia polisi baada ya wifi wa mtuhumiwa aitwae Shadya Ally (18) kupeleka taarifa kituo cha polisi Osterbay. Amesema mtuhumiwa akiwa nyumbani kwake Mikocheni alianza kusikia uchungu wa kuashiria kutaka kujifungua na alimuomba wifi yake huyo amsindikize hospitali .

Kamanda akiendelea kutoa taarifa hiyo alisema kuwa, walianza safari ya kumpeleka hospitali lakini wakiwa njiani ghafla mtuhumiwa ambae ni ‘Happy’ alimwambia wifi yake huyo kuwa anajisikia haja na alishuka eneo hilo kwenda chooni kujisaidia na Shadya alimsubiri nje.

Amesema ghafla Shadya akiwa nje alisikia sauti ya mtoto ikilia kutoka chooni humo na aliamua kuingia na kukuta kichanga cha jinsia ya kiume kikiwa kimeegeshwa pembezoni mwa tundu la choo na kutoelewa ilikuwaje.

Kenyela alisema” wifi mtu aliamua kuwasha tochi ya simu yake ya mkononi na alimwona vizuri mtoto huyo na ghafla mtuhumiwa alikisukumiza kichanga hicho ndani ya tundu la choo kwa mguu wake na kwa madai kuwa alikuwa ameharibika. Hivyo kufuatia tukio hilo Shadya aliomba msaada kwa majirani na kutoa taarifa kituo cha polisi kuomba kuopolewa kwa kichanga hicho na walifanikiwa kuokoa mwili huo kwa kushirikiana na polisi ukiwa tayari mfu.

Mtuhumiwa anaendelea kuhojiwa na polisi kufuatiwa tukio hilo. watotoz.blogspot.com inapendekeza kuwa mashauri ya mashtaka kama haya ya wazi, yanayowahusu watoto wasioweza kujitetea,  yasiigharimu serikali uchumi mkubwa kufikia hukumu. HAYA NI MAUAJI YA TAIFA.
                                          Habari za awali na Pilly Kigome wa Dar es salaam.

LU HAO MTOTO WA MIAKA 3 NA UZITO WA KILO 60: MAMBO YA CHINA


LU HAO: Can be free to take care of his Chinese enviroment.

LU HAO is very happy when he swims alone

LU HAO drives well his in-house scooter made in CHINA.

LU HAO enjoys his usual x2 CHINESE chicken.
Photo credit of Nifahamishe.com.

HAPPYBIRTHDAY PRINCESS ASIA MAHMOUD ZUBEIRY{4}


SIKU KUU YA KUFANA, NDEREMO NA VIFIJO VILITANDA KILA MAHALI KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YA MIAKA 4 YA  MTOTO MALKIA ASIA M. ZUBEIRY. PONGEZI KWA MAMA MZAZI DINA ISMAIL KWA MALEZI MAZURI SANA. KILA LA KHERI, AFYA NJEMA, MAADILI MEMA NA  SHULE LAZIMA ILI UFURAHIE MAISHA BORA BAADAYE. watotoz.blogspot.com INATOA PONGEZI ZA DHATI..HAPPY BIRTHDAY ASIA.

Saturday, 30 April 2011


Mtoto Irene Simba akifurahi na kudhihirisha upendo na amani aliyonayo alipobebwa na Rais wa Tanzania Baba Jakaya Kikwete kwenye hafla-kazi iliyofanyika viunga vya IKULU, ambapo mama yake Irene, Bi Mwamini Malemi, aliapishwa na Rais kuwa Kaimu Katibu Mkuu Mambo ya Ndani. Ndugu Alphayo Kidata aliapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu IKULU na wengine ktk wizara mbalimbali.

Rais JM Kikwete, M/Rais Bilal, W/Mkuu Pinda pamoja na Manaibu Katibu Wakuu walioapishwa leo ktk viunga vya IKULU-Dar es salaam. KAZI NA IENDELEE KWA KASI ZAIDI. TUSICHELEWE KUJENGA MISINGI BORA YA MAENDELEO KURITHISHA WATOTO TAIFA IMARA.

BURUNDI CHILDREN: UNCERTAIN FUTURE, P'SE HELP!

SOS Children in Burundi
Burundi is home to 3,733,000 children who live in abject poverty with chronic malnutrion and contagious diseases. They solely depend on foreign aid to survive. 12% of all childern in Burundi DIE at birth, with 20% DIE before their 5th birthdate. Burundi is one of the highest  child mortality rate in the world mainly due to Malaria, Diarrhoea, and pneumonia. Many children who are born alive are already infected with HIV/AIDS. And those who go on to live are immidiately left opharned to AIDS.

2. Many types of human rights violations that children experience in pre-trial detention, in the investigation and prosecution of cases, and while in prison.
Children are sometimes tortured to extract confessions, and most have no access to legal advice or representation. Children are locked up alongside adults in overcrowded and miserable conditions for months or even years as they await trial.
There is no juvenile justice system in Burundi. Under current laws, the age of criminal responsibility is 13. Minors between 13 and 18 years old found guilty of a crime benefit only from the reductions in sentences normally given to adults convicted of the same crime. There are currently no alternatives to incarceration for children and no services to help children once they are released from detention.

Testimony: 1
"The first time, I was in the shower, which was very small. An adult came in. He just forced himself on me. He was much bigger than me, so I couldn't do anything and I was in pain. I was too afraid and too ashamed to tell anyone, and he kept coming back to me. I never told anyone in the prison administration. I still have pain in my kidneys and in my stomach. I have diarrhea a lot."– Bunyigizwa A., 15, accused of theft, Gitega Prison, April 23,
Testimony: 2
"Sleeping is very hard, as there are about 27 of us in the one room. Some of us have to sit up all night. There are no separate showers and toilets for us, the children. It's bad for the kids when the adults are in the bathrooms. I check to see who is in there before going to shower."– Jean-Mutahigizwa, 14, accused of theft, Ruyigi Prison, April 16,

Human Rights Watch called on the government of Burundi and donors working in the justice sector, such as DFID and the European Commission, to support a juvenile justice system based on international standards of the rights of the child. The system must prioritize rehabilitation, social reintegration and alternatives to incarceration.
"WATCH OUT AND FURTHER AHEAD. AS WE GUIDE THE CHILDREN NOW THAT IS THE WAY THEY WILL LEAD US TOMMOROW" watotoz.blogspot.com

" I WILL NEVER WEAR CHILDREN HAIR EXTENSION AGAIN" VOWS SUPERSTAR JAMELIA

Whose Hair Is it anyway
Standing inside a Hindu temple in Chennai, India, I watch horrified as a two-year-old girl with long, dark tresses has her head shaved. She screams as the clippers buzz around her ears and her hair tumbles to the floor. She is clearly terrified and no doubt has little comprehension of what is happening to her
Jamelia
The pop star Jamelia with Tatiana, an 11-year-old Russian who sold her waist-length hair for just £10  roughly a month’s wages.

"Indeed, until I worked on this BBC investigation, I’m ashamed to admit I’d never once stopped to consider where the human hair I had pinned or sewn into my head had come from. Then I heard from a friend, earlier this year, that the hair used in the extensions are, mostly, taken from children, women or corpses. I was horrified. How did I know I wasn’t wearing a dead person’s hair? And if I was, had they agreed to that before they passed away, or had they simply had it shaved off in a mortuary without their family’s knowledge?"

Wednesday, 27 April 2011

NBC YATHAMINI NA KUWEKEZA KWA KIZAZI KIPYA


Mshauri wa mawasiliano National Bank of Commerce(T) Bi Robi Matiko-Simba na wafanyakazi wenzeke wakifariji na kusherehekea siku kuu ya Pasaka pamoja na WATOTO  na Wanawake wanaoishi ktk mazingira magumu na kutunzwa na HOUSE OF PEACE cha Jijini Dar es Salaam. NBC imeongeza juhudi ya kuwajibika, kuthamini, na kuwekeza  misaada zaidi kwa wananchi.